Nedan finns texten till låten Subira , artist - Sauti Sol med översättning
Originaltext med översättning
Sauti Sol
Jina lakee subira
Pendo letu liling’aaa
Mwaka wa kwaaanza wa ndoa
Kanizaliia kijana
Penzi likawa sawaaa
Wazazi wangu na wakee
Walipendaaana sana
Heshima kifamiliaaa
We kidosho wa afrika musichana tabia kwako niliridhikaa
Oooooohoooohooo
Bye bye bye bye byeebyee
Paparampapam paparampapam
Bye bye oooouuuu bye bye
Paparampapam paparampapam
Bye bye oooouuuu bye bye
Byeee bbbyyyyyeeee
Mmmmh kama ndoa ilivyo
Uzuri na ubaya aa
Ubaya katokeaaa
Msichana wa geti kali atakulaje sukuma
Jirani wamuchekaaaa
Akaanza kusonyasonya na kukunja sura msichana kaniwachaa
Låtar på olika språk
Högkvalitativa översättningar till alla språk
Hitta texterna du behöver på några sekunder