Damu Ya Salaam - Khadja Nin

Damu Ya Salaam - Khadja Nin

Альбом
Ya...
Год
1999
Язык
`Swahili`
Длительность
225510

Nedan finns texten till låten Damu Ya Salaam , artist - Khadja Nin med översättning

Låttexten " Damu Ya Salaam "

Originaltext med översättning

Damu Ya Salaam

Khadja Nin

tangu iraki mpaka amerika

wako karibu yakufunga vita

mi mama mzazi nauliza

ni nani ata linda watoto wetu

bwana hussein anasema:

«nataka salaam»

mi si aminiye neno ile

damu yaliyo mwangiwa

ni ya wadogo na watoto tu mimi huyu nakosa njiya

yakusikika kwa wakubwa

kwa hakika tulijioneya

vita ya kwanza ilizala fitina

bwana hussein anasema:

«nataka salaam»

mi si aminiye neno ile

damu yaliyo mwangiwa

ni ya wadogo na watoto tu nakata matumaini

ju kwa vile naona

wakubwa hawajali macozi ya mutu mudogo analiya wake

siraha ya amani ilikuta kwake

mr.clinton anasema:

«nataka salaam»

mi si aminiye neno ile

damu yaliyo mwangiwa

ni ya wadogo na watoto tu mr.clinton anasema:

«nataka salaam»

mi si aminiye neno ile

damu yaliyo mwangiwa

ni ya wadogo na watoto tu

2+ miljoner sångtexter

Låtar på olika språk

Översättningar

Högkvalitativa översättningar till alla språk

Snabbsökning

Hitta texterna du behöver på några sekunder