Issa Vibe - H_art The Band, Sauti Sol

Issa Vibe - H_art The Band, Sauti Sol

Год
2019
Язык
`Engelska`
Длительность
241080

Nedan finns texten till låten Issa Vibe , artist - H_art The Band, Sauti Sol med översättning

Låttexten " Issa Vibe "

Originaltext med översättning

Issa Vibe

H_art The Band, Sauti Sol

Usiogope kutoa wazimu

Issa Vibe Issa Party each and every jam session

(Gituamba!)

(Issa Vibe) Issa Vibe Issa Party

Each and every jam session

(Turn around) Turn around back it up

I wanna see you in rotation

Juu nimecome kudo kile umecome kudo

Usiogope kutoa wazimu

(Issa Vibe) Issa Vibe Issa Party

Each and every jam session

Vile umedunga look at you

Vibe zimechocha zimecome through

I’ve been looking around

Looking for someone like you

Won’t you come my way

Juu kuna wanati wamekuja na mavela

Na mapinchi wanachunana mahela

Na kile nataka ni kukatika nawe

Katika tena na tena

Na kila mahali kumewaka tu mavela

Na mapinchi wameshaachafua meza

Na kile nataka ni kukatika nawe

Katika tena na tena

Oh nisamehe

What I’m about to do ni kubleki tu

Nisamehe

Issa Vibe Issa Vibe Issa Vibe

(Issa Vibe) Issa Vibe Issa Party

Each and every jam session

(Turn around) Turn around back it up

I wanna see you in rotation

Juu nimecome kudo kile umecome kudo

Usiogope kutoa wazimu

(Issa Vibe) Issa Vibe Issa Party

Each and every jam session

Savara na Kenchez Muya

Waluhya vakhana khuvatuya

Wale wabaya pia we unatambua so

Fuata nyayo step piga hatua

Kama hujui basi leo utajua

Cheza na radar ka'

Umekibeba na

Uslete noma ka'

Zimekushika na

Bonga na Rhoda

Pale kwa kona

Toto kiboko pia wewe unaona

Anavyozungusha kiuno utakoma

Mister Selekta usikatisie ngomaaa

Issa Vibe

(Issa Vibe) Issa Vibe Issa Party

Each and every jam session

(Turn around) Turn around back it up

I wanna see you in rotation

Juu nimecome kudo kile umecome kudo

Usiogope kutoa wazimu

(Issa Vibe) Issa Vibe Isaa Party

Each and every jam session

Mbogi ni ya Rongai

Matatu 125

Warembo hips don’t lie

Mbogi ya Kimonyoski

Juu ya Timber na maKhaki

Mangoto na maNatty

Macookie na makeki

Makali na majani

Na tunaiwasha katikati

Ikizima tunaseti

Basi roll ingine freshy

Chini ya maji tunamedi

And I don’t wanna be your boyfriend

Mi nataka one night stand

Na vile umedunga utafanya mi nispend (kichwa tu)

And I don’t wanna be your boyfriend

Mi nataka one night stand

Na vile umedunga utafanya mi nispend

Oh no no no no

Don’t you know Issa Vibe

(Issa Vibe) Issa Vibe Issa Party

Each and every jam session

(Turn around) Turn around back it up

I wanna see you in rotation

Juu nimecome kudo kile umecome kudo

Usiogope kutoa wazimu

(Issa Vibe) Issa Vibe Isaa Party

Each and every jam session

(Issa Vibe) Issa Vibe Issa Party

Each and every jam session

(Turn around) Turn around back it up

I wanna see you in rotation

Juu nimecome kudo kile umecome kudo

Usiogope kutoa wazimu

(Issa Vibe) Issa Vibe Isaa Party

Each and every jam session

2+ miljoner sångtexter

Låtar på olika språk

Översättningar

Högkvalitativa översättningar till alla språk

Snabbsökning

Hitta texterna du behöver på några sekunder