Upofu - Diamond Platnumz

Upofu - Diamond Platnumz

Год
2014
Язык
`Swahili`
Длительность
242100

Nedan finns texten till låten Upofu , artist - Diamond Platnumz med översättning

Låttexten " Upofu "

Originaltext med översättning

Upofu

Diamond Platnumz

Mi kweli natamani siku iwezekane

Nifumbue macho mi kuona

Nijue sababu gani, unanipenda sana

Wakati siwezi mi kuona?

Mara nyingi peke yangu nawaza

Namuomba Mungu nisije kukwaza

Nikaja kukupa maudhi na nafsi kuichoma

Chei, tena usiku mzima nalia darling

Napiga goti kwa Mola nasali

Azidi tupe baraka tusije kosa dona

Eh, mi macho yangu nimejaliwa mboni lakini nuru sina

Ningekuwa na uwezo ningefanya kazi nikuhudumie

Upofu wangu ndo kikwazo kikubwa, mwenzako raha sina

Lakini unanijali, mbali na mengi unanipenda sana

Mi kweli natamani siku iwezekane

Nifumbue macho mi kuona

Nijue sababu gani, unanipenda sana

Wakati siwezi mi kuona?

Nasikia kuna rangi ya upendo

Ili upendwe kuna pozi za mwendo

Utanashati, udambudambu na urembo mi sina

Mi natamani nitazame

Kwa ardhi na mbingu nilalame

Nipande mawingu na niiname

Uwenda nikaona

Eh, mi macho yangu nimejaliwa mboni lakini nuru sina

Ningekuwa na uwezo ningefanya kazi nikuhudumie

Upofu wangu ndo kikwazo kikubwa, mwenzako raha sina

Lakini unanijali, mbali na mengi unanipenda sana

Mi kweli natamani siku iwezekane

Nifumbue macho mi kuona

Nijue sababu gani, unanipenda sana

Wakati siwezi mi kuona?

Nikuone mama, niweze tazama

Every body say ee-eeh ee-eh ee

Ee-eh ee-eh ee, eh

Ee-eh ee-eh ee, I love you, nakupenda

Tena!

Ee-eh ee-eh

Ee-eh ee-eh ee, eh

Ee-eh ee-eh ee, I love you, nakupenda

Say ee-eeh ee-eh ee

Ee-eh ee-eh ee, eh

Ee-eh ee-eh ee, I love you, nakupenda

2+ miljoner sångtexter

Låtar på olika språk

Översättningar

Högkvalitativa översättningar till alla språk

Snabbsökning

Hitta texterna du behöver på några sekunder