Sikomi - Diamond Platnumz

Sikomi - Diamond Platnumz

Год
2018
Язык
`Swahili`
Длительность
233120

Nedan finns texten till låten Sikomi , artist - Diamond Platnumz med översättning

Låttexten " Sikomi "

Originaltext med översättning

Sikomi

Diamond Platnumz

Wanasemaga mapenzi safari

Unavyopita ndo jinsi unajongea

Ila niendako ni mbali sijui ka ntafika sababu natembea

Niliposikiaga habari

Yakisifika nikakesha nangojea

Akabariki jalali na nikawika muziki nikauotea

Ile pruuu mpaka macca

Nikadandiaga bongo movie

Kumbe mapenzi hayataki haraka

Ni kama tango natia tu chumyi

Mwenzenu nikaoza haswa

Na kujitia kitandani mjuzi

Eti nataka fukuza paka

Badala ya mbwa nikafuga mbuzi, hhhmmm

Wivu ukanifanya nikagombana na marafiki

Ugomvi na mamangu akiniambia siambiliki

Moyo ukanambia nasibu sasa mapenzi basi

Ila nang’ang’ania najaribu kuipinga nafsi

Esma ananiambia mdogo wangu mapenzi basi

Ila nang’ang’ania

Nikiumizwa na huyu kesho nna mwingine

Ooh mbona sikomi

Sikomi

Sikomi

Licha ya mateso haya

Najiuliza (oh sikomi)

Oh sikomi mbona (sikomi)

Mbona jamani

Sikomi

Licha ya mateso haya, hhhmmm

Aliyonifanyia wa central

Haki ya mungu siyawezi sema

Ila nimejifunza kesho nisiwaamini wacheza sinema

Moyo walinipatia mateso

Siwezi kumeza siwezi tema

Ndio maana sikushanga ile ghafla

Toka ccm kwenda chadema

Wanasema kitanda ukitandika sharti ukilalie

Nikajitia ukamanda yatakwisha

Wacha nivumilie

Kila kiza kikitanda

Ndo visa machozi me nilie

Penzi yakatia parapanda

Kuwaita waje washambulie

Acha na penny we darling

Nilio muhongaga gari

Aliponambia ana mimba

Mwisho wa siku akaichomoa chali

Mola akanitunuku zari

Akanzalia dume na mwali

Niliyvo mjinga nikacheat aibu mpaka

Kwa vyombo vya habari

Moyo unanambia nasibu sasa mapenzi basi

Ila nang’ang’ania najaribu kuipinga nafsi

Lizer ananiambia simba mapenzi basi

Ila nang’ang’ania

Nikiumizwa na huyu kesho nna mwingine

Ooh mbona sikomi (mbona)

Sikomi (mbona jamani)

Sikomi

Licha ya mateso haya

Eh nishafumania (oh sikomi)

Nikafumaniwa mimi (sikomi)

Nishagombana na watu (sikomi)

Licha ya mateso haya (mateso haya)

2+ miljoner sångtexter

Låtar på olika språk

Översättningar

Högkvalitativa översättningar till alla språk

Snabbsökning

Hitta texterna du behöver på några sekunder