Ongeza - Diamond Platnumz

Ongeza - Diamond Platnumz

Год
2020
Язык
`Swahili`
Длительность
236280

Nedan finns texten till låten Ongeza , artist - Diamond Platnumz med översättning

Låttexten " Ongeza "

Originaltext med översättning

Ongeza

Diamond Platnumz

Mi Kwako Sikuingia Miguu

Mikono Hadi Kichwa Kiufupi Mazima

Nikiaminii

Wakufa Kuzikana

Yani Hoi Sio Nafuu

Mahututi Kabisa Hata Mashaka Sina

Nikiaminii Tutatengwa Na Maulana

Mvumilivu Ula Mbivu

Nimengoja Mpaka Zikaoza

Naambulia Maumivu

Ingali Sina Wa Kunipoza

Sijui Yangu Stahamilivu

Kunyenyekea Kwaniponza

Napambania Utulivu

Mwenzangu Chuki Unaikoza

Sikukufuta tu Machozi

Ulipolia Nlilia Na Wewe

Sa Mbona Wanilipa Majonzi

Yani Stress Mapombe Nilewe

We Ndio Wangu Yesu Mkombozi

Sa Mbona Petro Unaniacha Mwenyewe

Nikose Usingizi Na Njozi

Ndio Ufurahi?

Okey sawa!

Si Unataka Nitukanwe.

Ongeza Ongeza Bado (Nidhalilike)

Ongeza Ongeza Bado (Nikose Pakuificha Sura)

Ongeza Ongeza Bado (Marafiki Wanicheke, Waning’ong’e Adaa)

Ongeza Ongeza Bado

Mmh!

Kisicho Kuua Ukukomaza eti Kiuaskari

Huo Msemo Mi Nakataa

Maana Jua Linapo Angaza Ndio Sina Afadhali

Mie Kwangu Ni Mabalaa

Ooh Ooh!

Najitahidi Kumsinga Mwali

Ila Somo Ananikataa

Ooh Ooh!

Penzi Letu Sie La Kibatari

Anayamwaga Mafuta Ya Taa

Kutwa Ni Vurugu Ndani

Purukushani Apakaliki

Roho Inaniuma Yani

Kwanini Sa Tunagombana Sweet

Ooh Ooh!

Jema Gani

Niambie Labda Nitnde Kipi

Ata pakucheka Honey

Eti Utani Unapaniki

Nalewa!

Ridhiki Mafungu Saba Na La Kwangu Sita

Naelewa!

Sikutoshi Labda Kukuridhisha

Sikukufuta Tu Machozi (Sii iih iih)

Ulipolia Nililia Na Wewe (Nawewe!)

Sa Mbona Wanilipa Majonzi

Yani Stress Mapombe Nilewe

We Ndio Wangu Yesu Mkombozi

Sa Mbona Petro Unaniacha Mwenyewe

Nikose Usingizi Na Njozi

Ndio Ufurahi?

Okey Sawa!

Si Unataka Nitukanwe.

Ongeza Ongeza Bado (Eeh Eeh Eeh! Nidhalilike)

Ongeza Ongeza Bado (Eeh! Nikose Pakuificha Sura)

Ongeza Ongeza Bado (Ndugu Jamaa Wanicheke, Waning’ong’e Adaah!)

Ongeza Ongeza Bado (Aah Nikose pakuificha sura!!!)

Aah Waning’ong’e Adaah!

2+ miljoner sångtexter

Låtar på olika språk

Översättningar

Högkvalitativa översättningar till alla språk

Snabbsökning

Hitta texterna du behöver på några sekunder