Baila - Diamond Platnumz, Miri Ben-Ari

Baila - Diamond Platnumz, Miri Ben-Ari

Альбом
A Boy From Tandale
Год
2018
Язык
`Swahili`
Длительность
245290

Nedan finns texten till låten Baila , artist - Diamond Platnumz, Miri Ben-Ari med översättning

Låttexten " Baila "

Originaltext med översättning

Baila

Diamond Platnumz, Miri Ben-Ari

Hhhmm

Kama Unanipenda sana

Umaarufu weka Mbali

Na ile nyumba ni ya mama

Hivyo usiwaze Madale

Isiwe kesho madrama

Napigiwa simu na Tale

Hadi Insta natukanwa

Umeshaanzisha kwale

Moyo wangu

Mwepesi kupenda ila ngumu kusahau

Moyo wangu

Nateseka sana nayempenda akinidharau

Moyo wangu

Hodari wa kugawa wa kunipa sina

Moyo wangu

Ndio maana nasisitiza usije na wewe

Baila Baila Baila

Baila Baila Baila

Baila Baila Baila

Baila mama

Baila Baila Baila

Baila Baila Baila

Baila Baila Baila

Baila mama

Hhhmm

Muziki vita

Hawataki niendelee

Hivyo ukipata nafasi

Tafadhali niombee

Na nyumbani visa

Ndugu zangu wazoee

Itaniumiza nafsi

Ikifikia musiongee

Na mashemeji kwa ofisi unapocheka nao

Tahadhari sana

Si unajua wanamuziki vitabia vyao

Wamejawa tamaa

Oh na!

na dada zangu mawifi

Chunga nyendo zao

Usipelekwe mlama

Wakikwambia kaniki mara chota nyayo

Jua mumewe nakwama

Aaah Ah!

Utamu wa Big g Ni kutafuna

Usimeze uroda

Ongeza tu bidii kunikuna

Sio kuniroga

Kunikomba zaidi

Pika nguna nitaleta mboga

Unipe na kabibi kwetu suna

Nishushie na soda

Moyo wangu

Mwepesi kupenda ila ngumu kusahau

Moyo wangu

Nateseka sana nayempenda akinidharau

Moyo wangu

Hodari wa kugawa wa kunipa sina

Moyo wangu

Ndio maana nasisitiza usije na wewe

Baila Baila Baila (Oh Bailando Oh!)

Baila Baila Baila (Baila Kipenzi)

Baila Baila Baila (Eeh eeeeh)

Baila mama (Bailando Oh!)

Baila Baila Baila (Baila kidogo)

Baila Baila Baila (Baila nione)

Baila Baila Baila (Eeh eeeeh)

Baila mama (Bailando Oh!)

Hhhmm

Usiseme u love me

Then you lying

Usiseme u love me

Then you lying (aaaah!)

Usiseme u love me

Then you lying

Hhhhmm

Usiseme u love me

Then you lying aaaa (aaaah!)

Baila Baila Baila

Baila Baila Baila

Baila Baila Baila

Baila mama

Baila Baila Baila (Oh Baila)

Baila Baila Baila (Baila Kipenzi)

Baila Baila Baila

Baila mama

Heheheh Obrigado

2+ miljoner sångtexter

Låtar på olika språk

Översättningar

Högkvalitativa översättningar till alla språk

Snabbsökning

Hitta texterna du behöver på några sekunder