Chanda Chema - Diamond Platnumz

Chanda Chema - Diamond Platnumz

Год
2013
Язык
`Swahili`
Длительность
230890

Nedan finns texten till låten Chanda Chema , artist - Diamond Platnumz med översättning

Låttexten " Chanda Chema "

Originaltext med översättning

Chanda Chema

Diamond Platnumz

Platnumz

Chanda chema huvishwa pete

Basi pende nikupende, mi nikuvishe darling

Hongera ya punda mateke

So nisije nikakupenda ukanitupa mbali

Lalalalalala

Ah!

Ooooh

Lalalalalala

Ah!

Ooooh

Lalalalalala

Ah!

Ooooh

Lalalalalala

Ah!

Ooooh

Chanda chema huvishwa pete

Basi pende nikupende, mi nikuvishe darling

Hongera ya punda mateke

So nisije nikakupenda ukanitupa mbali

Ah sitosema hadharani

Ila moyoni nitaumia

Oh zile raha za chumbani

Nikianza fikiria

Mmmh!

Najua watasema mengi

Tafadhali usikiize

Si unajua hawapendi?

Lengo lao wakuumize

Najua watasema mengi

Ila tafadhali achana nao

Si unaju hawapendi?

Lengo lao

Lalalalalala

Ah!

Ooooh

Lalalalalala

Ah!

Ooooh

Lalalalalala

Ah!

Ooooh

Lalalalalala

Ah!

Ooooh

Zidisha mahaba niteke

Tena nipe vya akiba ulovitunza ndani

Moyo upate maseke

Nisahau hata shida zote za zamani

Ah tena fanya hadharani

Ili wazidi chukie

Ah fanya hima natamani

Muda wao umewadia

Mmmh!

Najua watasema mengi

Tafadhali usikiize

Si unajua hawapendi?

Lengo lao wakuumize

Najua watasema mengi

Ila tafadhali achana nao

Si unaju hawapendi?

Lengo lao

Lalalalalala

Ah!

Ooooh

Lalalalalala

Ah!

Ooooh (oooh)

Lalalalalala

Ah!

Ooooh

Lalalalalala (lalala)

Ah!

Ooooh

Ayo

Lemme dedicate this song

To all the pain in the ladies

Out there

(Lalalalalala, ah!)

It is what it is man

(Ooooooh)

They call me president baby

(Ooooooh)

Wasafi

Lalalalalala (eeeh)

Ah!

Ooooh (ooh lalalalala)

Lalalalalala (ii lalalala)

Ah!

Ooooh (oooh)

Oooh lalalala

Aaaah!

Oooh lalalala

Aaaah!

Lalalala

Ooooh!

2+ miljoner sångtexter

Låtar på olika språk

Översättningar

Högkvalitativa översättningar till alla språk

Snabbsökning

Hitta texterna du behöver på några sekunder