Pendeka - Boutross, Zikki, Xenia Manasseh

Pendeka - Boutross, Zikki, Xenia Manasseh

Год
2020
Язык
`Engelska`
Длительность
170780

Nedan finns texten till låten Pendeka , artist - Boutross, Zikki, Xenia Manasseh med översättning

Låttexten " Pendeka "

Originaltext med översättning

Pendeka

Boutross, Zikki, Xenia Manasseh

Nilicheki ukidondosa, nikakutokea ukanitoroka

Sahii baby unanisorora, sitakuchorea hata ukikoroga

Coz I need you in my bed tonight, we gonna sex alright

Leave you paralyzed, I know you kinda obsessed with me

Word on the street is that you sexing me

Saa unanivuta, wanichemsha unavyojigusa

Nikisogea shika ukuta, nionyeshe chenye mama alikupa

You know im the man to be, the one to bring you your fantasy

Girl you bettr stop testing me, wajua nakupenda why you ignoring this

Ukipndwa pendeka (mmh) penzi lako utanipa, (ayayaya)

Me siwezi tosheka (ayayaya), na siwezi kuruka (ayayaya)

Ukipendwa pendeka (mmh) penzi lako utanipa, (ayayaya)

Me siwezi tosheka (mmh), na siwezi kuruka (ayaya)

Naomba unisikize, I know this cant be easy

But before uniulize, Ill stack up and tell you whats going on

Siseme hunipendi, but I cant say im convinced

Sisemi me huniwezi, Just don’t wanna risk my feelings

Nimeshaumia tayari na sitaki marudio

Id rather be honest, than keep it on the low sio

Lakini endelea hivyo hivyo wanasema pole pole ndio mwendo

So maybe with a little bit of patience you can check off all the boxes kwenye

check list

Ukipendwa pendeka (mmh)

Penzi lako utanipa, (ayayaya)

Me siwezi tosheka (ayayaya)

Na siwezi kuruka (ayayaya)

Ukipendwa pendeka (mmh)

Penzi lako utanipa, (ayayaya)

Me siwezi tosheka (mmh)

Na siwezi kuruka (ayaya)

Ukipendwa pendeka (mmh)

Penzi lako utanipa, (ayayaya)

Me siwezi tosheka (ayayaya)

Na siwezi kuruka (ayayaya)

Ukipendwa pendeka (mmh)

Penzi lako utanipa, (ayayaya)

Me siwezi tosheka (mmh)

Na siwezi kuruka (ayaya)

2+ miljoner sångtexter

Låtar på olika språk

Översättningar

Högkvalitativa översättningar till alla språk

Snabbsökning

Hitta texterna du behöver på några sekunder